Highlights

Tajiri

Tajiri kanunua mbuzi!

Akamwambia mpishi! “Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friza! Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa!”

Mpishi akamuliza: “Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?”

Who wrote this joke? Would like to credit.

~Wakenya Canada

UA-0000000-0
Skip to toolbar